Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Petro 3:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Maana hufumba macho yao wasione neno hili, ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani, na inchi pia, imefanyizwa kwa maji ikatoka katika maji, kwa neno la Mungu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Lakini wao kwa makusudi hupuuza ukweli huu, kwamba kwa neno la Mungu mbingu zilikuwa tangu zamani, nayo dunia ilifanyizwa kutoka ndani ya maji na kwa maji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Lakini wao kwa makusudi hupuuza ukweli huu, ya kwamba kwa neno la Mwenyezi Mungu mbingu zilikuwepo tangu zamani, nayo dunia ilifanyizwa kutoka ndani ya maji na kwa maji.

Tazama sura Nakili

2 Petro 3:5
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wuyafanye yasiyowapasa;

nae alikuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.

Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hatta vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo