2 Petro 2:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 maaua mtu huyu mwenye haki akikaa kwao, kwa kuona na kusikia, alijitesa roho yake yenye haki, siku baada ya siku, kwa matendo yao yasiyo na sharia: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Loti aliishi miongoni mwa watu hao, na kwa siku nyingi moyo wake ulikuwa katika wasiwasi mkuu aliposikia matendo yao maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Loti aliishi miongoni mwa watu hao, na kwa siku nyingi moyo wake ulikuwa katika wasiwasi mkuu aliposikia matendo yao maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Loti aliishi miongoni mwa watu hao, na kwa siku nyingi moyo wake ulikuwa katika wasiwasi mkuu aliposikia matendo yao maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 (kwa sababu yale matendo mapotovu aliyoyaona na kuyasikia huyo mtu mwenye haki alipoishi miongoni mwao yalimhuzunisha siku baada ya siku): Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 (kwa sababu yale matendo mapotovu aliyoyaona na kuyasikia huyo mtu mwenye haki alipoishi miongoni mwao yalimhuzunisha siku baada ya siku): Tazama sura |