Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Petro 2:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 akamwokoa Lut, aliyehuzunishwa na mwenendo wa uasharati wa hawo wakhalifu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 na kama alimwokoa Lutu, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 na kama alimwokoa Lutu, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu

Tazama sura Nakili

2 Petro 2:7
14 Marejeleo ya Msalaba  

Jaribu halikuwapata ninyi, illa ya kadiri ya kibinadamu; na Mungu yu amini; hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, illi mweze kustahimili.

wakinena maneno ya kiburi makuu mno, kwa tamaaza mwili na kwa uasharati huwakhadaa watu waliokwisha kuwakimbia wao waishio katika udanganyifu:

Na wengi watafuata jeuri zao; kwa hawo njia ya kweli itanenwa unajisi.

Bassi, wapenzi, mkitangulla kujua haya, jilindeni nafsi zenu, msije mkachukuliwa na kosa la hawo wakhalifu, mkaanguka na kuuacha uthubutifu wenu.

Kwa maana kuna watu wamejiingiza kwa siri, watu walioandikiwa zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufasiki, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo