Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Petro 2:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 lakini alikaripiwa kwa ukhalifu wake mwenyewe; punda, asiyeweza kusema, akinena kwa sauti ya kibinadamu, aliuzuia wazimu wa nabii yule.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi, alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi, alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi, alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini kwa ajili ya uovu wake, alikemewa na punda, mnyama asiyejua kusema, alipoongea kwa sauti ya mwanadamu na kuzuia wazimu wa huyo nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini kwa ajili ya uovu wake, alikemewa na punda, mnyama asiyejua kusema, akaongea akitumia sauti ya mwanadamu na kuzuia wazimu wa huyo nabii.

Tazama sura Nakili

2 Petro 2:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, ikiwa hamkuwa waaminifu katika mamona ya udhalimu, nani atakaewaaminisheni mali ya kweli?

Na marra nyingi katika masunagogi mengi naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama nina wazimu, nikawaudhi hatta katika miji ya ugenini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo