Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Petro 2:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 ijapokuwa malaika, walio wakuu zaidi kwa uwezo na nguvu, hawaleti mashitaka mabaya juu yao mbele ya Bwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Lakini malaika ambao wana uwezo na nguvu kuliko hao waalimu wa uongo, hawawashtaki na kuwatukana hao mbele ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Lakini malaika ambao wana uwezo na nguvu kuliko hao waalimu wa uongo, hawawashtaki na kuwatukana hao mbele ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Lakini malaika ambao wana uwezo na nguvu kuliko hao waalimu wa uongo, hawawashtaki na kuwatukana hao mbele ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Lakini hata malaika, ijapokuwa wana nguvu na uwezo zaidi, hawaleti mashtaka mabaya dhidi ya viumbe kama hao mbele za Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Lakini hata malaika, ingawa wana nguvu na uwezo zaidi, hawaleti mashtaka mabaya dhidi ya viumbe kama hao mbele za Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




2 Petro 2:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

wizi, uuaji, tamaa mbaya, hila, jeuri, kijicho, matukano, kiburi, upumbafu.


na kuwalipa ninyi mteswao raha pamoja na sisi wakati wa kufunuliwa kwake Bwana Yesu kutoka mbinguni pamoja na malaika wa uweza wake,


Lakini Mikael, malaika mkuu, aliposhindana na Shetani, na kuhujiana nae kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana akukemee.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo