Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Petro 1:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Nikijua kwamba kule kuwekea mbali maskani yangu kwaja upesi, kama Bwana wetu Yesu Kristo alivyonionyesha kwa wazi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Najua kwamba karibu nitauweka kando mwili huu wenye kufa, kama Bwana alivyoniambia waziwazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Najua kwamba karibu nitauweka kando mwili huu wenye kufa, kama Bwana alivyoniambia waziwazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Najua kwamba karibu nitauweka kando mwili huu wenye kufa, kama Bwana alivyoniambia waziwazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 kwa sababu najua kwamba hivi karibuni nitaliweka kando, kama vile Bwana wetu Isa Al-Masihi alivyoliweka wazi kwangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 kwa sababu najua ya kwamba hivi karibuni nitaliweka kando, kama vile Bwana wetu Isa Al-Masihi alivyoliweka wazi kwangu.

Tazama sura Nakili




2 Petro 1:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

Simon Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako, huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadae.


Na sasa mimi najua ya kuwa ninyi nyote niliowakhubirini ufalme wa Mungu, nikienda huko na huko, hamtaniona uso tena.


KWA maana twajua ya kuwa nyumba ya maskani yetu iliyo ya dunia ikiharibiwa, tuna jengo litokalo kwa Mungu, nyumha isiyofanywa kwa mikono, iliyo ya milele katika mbingu.


Maana mimi sasa namiminwa, na siku ya kufunguliwa kwangu imekaribia.


Nami naona ni haki, maadam nipo mimi katika maskani hii, kuwaamsheni kwa kuwakumhusheni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo