Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Yohana 5:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Maana watatu ndio washuhuduo duniani, roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupataua kwa khabari moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Roho, maji na damu; na ushahidi wa hawa watatu waafikiana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Roho, maji na damu; na ushahidi wa hawa watatu waafikiana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Roho, maji na damu; na ushahidi wa hawa watatu waafikiana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Pia wako mashahidi watatu duniani]: hao ni Roho, Maji na Damu; hawa watatu wanakubaliana katika umoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Pia wako mashahidi watatu duniani]: Roho, Maji na Damu; hawa watatu wanakubaliana katika umoja.

Tazama sura Nakili




1 Yohana 5:8
14 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, enendeni, kawafanyeni mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;


Kwa maana wengi walimshuhudia uwongo, na ushuhuda wao haukupatana.


Lakini ajapo Mfariji, nitakaewapelekea toka kwa Baba, Roho ya kweli atokae kwa Baba, yeye atanishuhudia.


lakini askari mmoja kwa mkuki alimchoma ubavu, ikatoka marra damu na maji.


Na maneno ya manabii yapatana na bayo, kama ilivyoandikwa:


Roho yenyewe hushuhudu pamoja na roho zetu, ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu;


nae ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.


Kwa ajili hii Yesu nae, illi awatakase watu wake kwa damu yake miwenyewe, alitesyia nje ya mlango.


Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu,


Mfano wa mambo haya ni ubatizo, nnaowaokoa na ninyi siku hizi; (sio kuwekea, mbali uchafu wa mwili, bali jibu la dhamiri safi mbele za Mungu), kwa kufufuka kwake Yesu Kristo;


Tukiupokea ushuliuda wa wana Adamu, ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi; kwa maana ushuhuda wa Mungu ndio huu, amemshuhudia Mwana wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo