Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Yohana 5:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa yeye aaminiye ya kwamba Yesu yu Mwana wa Mungu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Nani, basi, awezaye kuushinda ulimwengu? Ni yule anayeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Nani, basi, awezaye kuushinda ulimwengu? Ni yule anayeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Nani, basi, awezaye kuushinda ulimwengu? Ni yule anayeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Ni nani yule aushindaye ulimwengu? Ni yule tu aaminiye kwamba Isa ni Mwana wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Ni nani yule aushindaye ulimwengu? Ni yule tu aaminiye kwamba Isa ni Mwana wa Mungu.

Tazama sura Nakili

1 Yohana 5:5
5 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Ukiweza kuamini: yote yawezekana kwake aaminiye.

Filipo akasema, Ukiamini kwa moyo wako wote, ni halali. Akajibu, akanena, Namwamini Mwana wa Mungu kuwa ndiye Yesu Kristo.

Killa aungamae ya kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu hukaa ndani yake, nae ndani ya Mungu.

KILLA mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na killa mtu ampendae mwenye kuzaa ampenda na yeye mwenye kuzaliwa nae.

Twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, nae ametupa akili illi tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye aliye Mungu wa kweli na uzima wa milele.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo