Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Yohana 5:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Watoto wangu wadogo, jilindeni nafsi zenu na sanamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Watoto wangu, epukaneni na sanamu za miungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Watoto wangu, epukaneni na sanamu za miungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Watoto wangu, epukaneni na sanamu za miungu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.

Tazama sura Nakili




1 Yohana 5:21
10 Marejeleo ya Msalaba  

Usitutie majaribuni, bali utuokoe na yule mwovu.


Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu.


Wala msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao; kama ilivyoandikwa, Watu waliketi kula na kunywa, wakasimama wacheze.


Maana wao wenyewe wanatangaza khabari zetu, jinsi kulivyokuwa kuingia kwetu kwenu; na jinsi mlivyomgeukia Mungu, mkaziacha sanamu illi kumtumikia Mungu aliye hayi, wa kweli,


WATOTO wangu wadogo, nawaandikia haya illi msitende dhambi. Na ijapo mtu akatenda dhambi tuna Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,


Na moshi wa maumivu yao wapanda juu hatta milele na milele, nao bawana raha mchana na usiku, bao wamsujuduo nyama na sanamu yake, na killa aipokeae alama ya jina lake.


Na wana Adamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia kazi za mikono yao hatta wasiwasujudu mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za mili, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo