Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Yohana 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Hivi twajua kwamba twawapencla watoto wa Mungu, tumpendapo Mungu, na kuzishika amri zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu: Kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu: Kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu: Kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, kwa kumpenda Mwenyezi Mungu na kuzitii amri zake.

Tazama sura Nakili




1 Yohana 5:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

Haya nawaamuru, mpate kupendana.


Na hivi twajua ya kuwa tumemjua, ikiwa tunashika amri zake.


Lakiui yeye alishikae neno lake, katika huyo upendo wa Mungu umekamilika kweli kweli. Ilivi twajua ya kuwa tumo ndani yake.


Sisi tunajua ya kuwa tumepita toka mauti hatta uzima, kwa maana twawapenda ndugu. Asiyependa, akaa katika mauti.


Na amri hii tumepewa nae, ya kwamba yeye ampendae Mungu, ampende na ndugu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo