Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Yohana 4:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Katika pendo hamua khofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje khofu, kwa maana khofu ina adhabu; na mwenye khofu hakukamilishwa katika pendo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.

Tazama sura Nakili

1 Yohana 4:18
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mafarisayo wakanena, Kwa mkuu wa pepo afukuza pepo.

Kwa kuwa hamkupokea roho ya utumwa uletao khofu, hali mlipokea roho ya kufanywa waua, kwa hiyo twalia, Abba, Baba.

Maana Mungu hakutupa roho ya khofu, bali ya nguvu na ya upendo ua ya moyo wa kiasi.

Bassi tukipokea ufalme usioweza kutetemeshwa, tuwe na neema, illi kwa hiyo tumtolee Mungu ibada ya kumpendeza, pamoja na unyenyekevu na kicho:

Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vyema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.

Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Tukipendana, Mungu hukaa ndani yetu, na pendo limekamilishwa ndani yetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo