Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Yohana 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Hivi tunafahamu ya kuwa tunakaa ndaui yake, nae ndani yetu, kwa kuwa ametushirikisha Roho yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Tunajua kwamba tunaishi katika umoja na Mungu, naye Mungu anaishi katika umoja nasi, kwani yeye ametupa Roho wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Tunajua kwamba tunaishi katika umoja na Mungu, naye Mungu anaishi katika umoja nasi, kwani yeye ametupa Roho wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Tunajua kwamba tunaishi katika umoja na Mungu, naye Mungu anaishi katika umoja nasi, kwani yeye ametupa Roho wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Tunajua kwamba twakaa ndani yake na yeye ndani yetu, kwa sababu ametupatia sisi sehemu ya Roho wake Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Tunajua kwamba twakaa ndani yake na yeye ndani yetu, kwa sababu ametupa sisi sehemu ya Roho wake.

Tazama sura Nakili




1 Yohana 4:13
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho itokayo kwa Mungu, tupate kuyajua tuliyokarimiwa na Mungu.


Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu ya Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyopewa na Mungu? Na ninyi si mali yenu wenyewe;


Na hivi twajua ya kuwa tumemjua, ikiwa tunashika amri zake.


Lakiui yeye alishikae neno lake, katika huyo upendo wa Mungu umekamilika kweli kweli. Ilivi twajua ya kuwa tumo ndani yake.


Nae azishikae amri zake hukaa ndani yake, nae ndani yake. Na hivi tunajua ya kuwa anakaa ndani yetu, kwa Roho aliyotupa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo