Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 5:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Maana walalao hulala usiku, na walewao hulewa usiku.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa kuwa wote wanaolala, hulala usiku, na wale wanaolewa, hulewa usiku.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 5:7
14 Marejeleo ya Msalaba  

akamwambia, Killa mtu kwanza huandaa divai iliyo njema, hatta watu wakiisha kunywa sana, ndipo huleta iliyo dhaifu: wewe umeweka divai iliyo njema hatta sasa.


Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana;


Kama ilivyokhusika na mchana tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufasiki na uasharati, si kwa ugomvi na wivu.


Erevukeui kama ipasavyo, wala insiteude dhambi; kwa maana wengine hawamfahamu Mungu. Ninasema haya niwafedheheshe.


Kwa biyo anena, Amka, wewe usinziae, kafufuka, na Kristo atakuangaza.


Tena msilevye kwa mvinyo, kwa kuwa haina kiasi, bali mjazwe Roho;


wakipatwa na madhara, ujira wa udhalimu wao, wakidhani kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa; ni mawaa na aibu, wakifuata anasa katika karamu zao za upendo, wafanyapo karamu pamoja nanyi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo