Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 5:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Nawaapisha kwa Bwana, wasomewe ndugu wote waraka huu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Ninawaagiza mbele za Bwana Isa mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Nawaagizeni mbele za Bwana Isa mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 5:27
19 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yesu akanyamaza. Kuhani mkuu akamjihu, akamwambia, Nakuapisha Mungu aliye hayi, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.


akalia kwa sauti kuu akanena, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi, uniapie kwa Mungu kwamba hutaniadhibu.


Siku zile akasimama Petro kati ya wanafunzi, akasema (jumla ya majina ilipata mia na ishirini),


Baadhi ya Wayahudi wenye kutangatanga, nao ni waganga wa pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema, Twawaapizeni kwa Yesu, yule anaekhubiriwa na Paolo.


Waraka hun ukiisha kusomwa kwenu, fanyeni kwamba usomwe katika kanisa la Walaodikia; na ule wa Laodikia usomwe na ninyi.


vile vile kama mjuavyo jinsi tulivyomwonya killa mmoja wemi kama baba amwonavyo mtoto wake, tukiwatieni moyo na kushuhudia,


Na ikiwa mtu aliye yote halishiki neno letu la waraka huu, jihadharini na mtu huyo, wala msizumgumze nae, apate kutahayarika;


Agizo hilo nakupa iwe akiba, mwanangu Timotheo, kwa ajili ya maneno ya unabii yalivotangulia juu yako, illi katika hayo ufanye vile vita vizuri;


Kama vile nilivyotaka ukae katika Efeso nilipokuwa nikisafiri kwenda Makedonia, illi, nwaagize wengine wasifundishe elimu ya namna nyingine,


Nakuagiza mbele za Mungu, na mbele za Bwana Kristo Yesu, na mbele ya malaika wateule, yatende hayo pasipo kuhukumu kwa haraka; usifanye neno lo lote kwa upendeleo.


Uwaagize haya, illi wawe bawana lawama.


Nakuagiza mbele za Mungu avipae vitu vyote uzima, na mbele za Kristo Yesu aliyeungama maungamo yale mazuri mbele ya Pontio Pilato,


Uwaagize walio matajiri katika ulimwengu huu wasijivune, wala wasitumainie utajiri usio yakini, bali Mungu aliye hayi atupae vitu vyote kwa wingi, tuvitumie kwa furaha;


NAKUSHUHUDIA mbele za Mungu, na Bwana Yesu Kristo, atakaewahukumu walio hayi na waliokufa, kwa kudhihiri kwake, na kwa ufalme wake;


KWA hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuushiriki wito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo