Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 5:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Wasalimuni ndugu kwa husu takatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 5:26
3 Marejeleo ya Msalaba  

Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziyada? Hatta wattoza ushuru, je, nao hawafanyi kama hayo?


Salimianeni kwa busu takatifu. Makanisa yote ya Kristo yawasalimu.


Ndugu wote wawasalimu. Kasalimianeni kwa busu takatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo