1 Wathesalonike 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwizi ajavyo usiku. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Maana nyinyi wenyewe mwajua kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajavyo usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Maana nyinyi wenyewe mwajua kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajavyo usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Maana nyinyi wenyewe mwajua kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajavyo usiku. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Mwenyezi Mungu itakuja kama mwizi anavyokuja usiku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana Mwenyezi itakuja kama mwizi ajapo usiku. Tazama sura |