Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 5:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Msimzimishe Roho;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Msimpinge Roho Mtakatifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Msimpinge Roho Mtakatifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Msimpinge Roho Mtakatifu;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Msiuzime moto wa Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Msiuzime moto wa Roho wa Mwenyezi Mungu;

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 5:19
13 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya na ninyi vivyo hivyo.


Lakini mwingine aliyeketi, akifunuliwa neno, yule wa kwanza na anyamaze.


Wala msimhuzunishe Roho yule Mtakatifu wa Mungu; kwa yeye mlitiwa muhuri mpaka siku ya ukombozi.


zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.


Usiache kuitumia ile karama iliyo udani yako uliyopewa wewe kwa unabii, na kwa kuwekewa mikono ya wazee.


Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo