Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 5:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 LAKINI kwa khabari ya nyakati na majira, ndugu, hamna haja niwaandikie.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Basi ndugu, hatuna haja ya kuwaandikia kuhusu nyakati na majira,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 5:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakinena, Tuambie, haya yatakuwa lini? Na nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?


Na khabari ya siku ile na saa ile hakuna ajuae, hatta malaika walio mbinguni, illa, Baba yangu peke yake.


Akawaambia, Si kazi yenu kujua nyakati wala majira, Baba aliyoyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.


KWA khabari za kuwakhudumia watakatifu sina haja ya kuwaandikia.


Bassi, farijianeni kwa maneno haya.


Kwa khabari ya upendano, hamna haja niwaandikie: maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.


Wapenzi, nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia khabari ya wokofu wetu sisi sote, naliona imenilazimu kuwaandikieni, illi niwaonye mwishindanie imani waliyokabidhiwa watakatifu marra moja tu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo