Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 4:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 si katika hali ya tamaa mbaya, kama mataifa wasiomjua Mungu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 bali si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 4:5
17 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana haya yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji haya yote.


Maana mataifa wa dunia huyatafuta hayo yote, lakini Baba yenu anajua ya kuwa mnahitaji hayo.


Kwa sababu nilipokuwa nikipita huko na huko na kuyaona maabudu yenu, naliona madhliahu iliyoandikwa maneno haya, Kwa Mungu yule asiyejulikana. Bassi mimi nawakhubirini khabari zake yeye ambae ninyi mnamwabudu hila kumjua.


Kwa ajili ya bayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hatta wakavunjiana heshima miili yao:


Kwa hiyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hatta wanawake wakahadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili:


Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wuyafanye yasiyowapasa;


Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upumbavu wa lile neno linalokhubiriwa.


Erevukeui kama ipasavyo, wala insiteude dhambi; kwa maana wengine hawamfahamu Mungu. Ninasema haya niwafedheheshe.


Lakini wakati ule, kwa kuwa hamkujua Mungu, mliwatumikia wao ambao kwa asili si miungu.


kwamba zamani zile mlikuwa hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israeli, wageni, wasio wa maagano ya ahadi; mlikuwa hamna tumaini, hamna Mungu duniani.


Bassi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika inchi, uasharati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu:


katika mwako wa moto, akiwalipa kisasi wao wasiomjua Mungu, nao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo;


Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda wayapendayo mataifa, kuenenda katika uasharati, ua tamaa, na ulevi, ua karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo