Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 4:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Maana mnajua maagizo gani tuliyowapeni kwa Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Maana mnayajua yale maagizo tuliyowapeni kwa mamlaka ya Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Maana mnayajua yale maagizo tuliyowapeni kwa mamlaka ya Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Maana mnayajua yale maagizo tuliyowapeni kwa mamlaka ya Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Kwa kuwa mnajua maagizo tuliyowapa kwa mamlaka ya Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kwa kuwa mnajua ni maagizo gani tuliyowapa kwa mamlaka ya Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 4:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

mkiwafundisha kushika yote niliyowaamuru ninyi: nti tazama, mimi nipo pamoja nanyi sikuzote, hatta mwisho wa dunia. Amin.


Kwa wale wasio na sharia nalikuwa kama sina sharia. Si kana kwamba sina sharia mbele za Mungu, hali mwenye sharia mbele za Kristo, illi niwapate wasio na sharia.


ILIYOBAKI, ndugu, tunakusihini na kukuonyeni kuenenda katika Bwana Yesu, kama mlivyopokea kwetu, jinsi iwapasavyo kuenenda na kumpendeza Mungu, kama na muavyoenenda, mpate kuzidizidi sana.


Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na nasharati;


Kwa maana hatta wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, bassi, asile chakula.


Twawaagizeni, ndugu, katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu na killa ndugu aendae bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo