Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 3:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Maana shukrani gani tuwezayo kumlipa Mungu kwa ajili yenu, kwa furaha ile yote tunayoifurahia, kwa sababu yenu mbele za Mungu wetu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Sasa tunaweza kumshukuru Mungu wetu kwa ajili yenu. Tunamshukuru kwa furaha tuliyo nayo mbele yake kwa sababu yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Sasa tunaweza kumshukuru Mungu wetu kwa ajili yenu. Tunamshukuru kwa furaha tuliyo nayo mbele yake kwa sababu yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Sasa tunaweza kumshukuru Mungu wetu kwa ajili yenu. Tunamshukuru kwa furaha tuliyo nayo mbele yake kwa sababu yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Je, tutawezaje kumshukuru Mungu kiasi cha kutosha kwa ajili yenu, kutokana na furaha tuliyo nayo mbele za Mungu wetu kwa sababu yenu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Je, tutawezaje kumshukuru Mwenyezi Mungu kiasi cha kutosha kwa ajili yenu, kutokana na furaha tuliyo nayo mbele za Mungu wetu kwa sababu yenu?

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 3:9
17 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu ashukuriwe, anaetushangiliza daima katika Kristo, na kuyadhihirisha manukato ya hawa wamjuao killa pahali kwa kazi yetu.


Mungu ashukuriwe kwa sababa ya kipawa chake, tusichoweza kukisifu ipasavyo.


Maana tumnini letu, au furaha yetu, an taji ya kujisifu ni nini? Si ninyi, mbele za Bwana wetu Yesu Kristo wakati wa kuja kwake?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo