Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 3:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BASSI kwa biyo, tulipokuwa hatukuweza kuvumilia zaidi, tuliona vema kuachwa Athene peke yetu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mwishowe hatukuweza kuvumilia zaidi. Basi, tuliamua kubaki kule Athene peke yetu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mwishowe hatukuweza kuvumilia zaidi. Basi, tuliamua kubaki kule Athene peke yetu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mwishowe hatukuweza kuvumilia zaidi. Basi, tuliamua kubaki kule Athene peke yetu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kwa hivyo tulipokuwa hatuwezi kuvumilia zaidi, tuliamua tubaki Athene peke yetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kwa hivyo tulipokuwa hatuwezi kuvumilia zaidi, tuliamua tubaki Athene peke yetu.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 3:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nao walimsindikiza Paolo wakampeleka hatta Athene; na wakiisha kupokea maagizo kuwapelekea Sila na Timotheo, ya kama wasikawie kumfuata, wakaenda zao.


Paolo alipokuwa akiwangojea katika Athene akaona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho yake ilichukizwa sana ndani yake.


sikupata raha nafsini mwangu, kwa sababu sikumwona Tito ndugu yangu, bali niliagana nao, nikaondoka kwenda Makedonia.


Lakini sisi, ndugu, tukifarakana nanyi kwa kitambo, kwa nso si kwa moyo, tulitamani zaidi kuwaona nyuso zenu, kwa shauku nyingi.


Kwa hiyo mimi nami nilipokuwa siwezi kuvumilia tena, nalimtuma mtu illi niijue imani yenu, asije yule mjaribu akawajaribu, wala taabu yetu isiwe haina faida.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo