Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 2:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Maana ninyi utukufu wetu, na furaha yetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Naam, nyinyi ni utukufu wetu na furaha yetu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Naam, nyinyi ni utukufu wetu na furaha yetu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Naam, nyinyi ni utukufu wetu na furaha yetu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Naam, ninyi ndio fahari yetu na furaha yetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Naam, ninyi ndio fahari yetu na furaha yetu.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 2:20
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanake ni utukufu wa mwanamume.


vile vile kama mlivyotukiri kwa sehemu, ya kwamba sisi tu sababu ya kujisifu kwenu, kama ninyi mlivyo kwetu sisi, katika siku ile ya Bwana Yesu.


BASSI kwa biyo, tulipokuwa hatukuweza kuvumilia zaidi, tuliona vema kuachwa Athene peke yetu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo