1 Wathesalonike 1:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Maana kutoka kwenu Neno la Mungu limevuma, si katika Makedonia na Akaya tu: bali na katika killa mahali imani yenu mliyo nayo kwa Mungu imeenea, hatta hatuna haja sisi kunena lo lote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Maana, kutokana na bidii yenu ujumbe wa Bwana umesikika si huko Makedonia na Akaya tu, bali imani yenu kwa Mungu imeenea popote. Tena hatuhitaji kusema zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Maana, kutokana na bidii yenu ujumbe wa Bwana umesikika si huko Makedonia na Akaya tu, bali imani yenu kwa Mungu imeenea popote. Tena hatuhitaji kusema zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Maana, kutokana na bidii yenu ujumbe wa Bwana umesikika si huko Makedonia na Akaya tu, bali imani yenu kwa Mungu imeenea popote. Tena hatuhitaji kusema zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa maana kutoka kwenu neno la Bwana Isa limesikika, si katika Makedonia na Akaya tu, bali pia imani yenu katika Mungu imejulikana kila mahali, kiasi kwamba hatuna haja ya kusema chochote juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa maana kutoka kwenu neno la Bwana Isa limesikika, si katika Makedonia na Akaya tu, bali pia imani yenu katika Mwenyezi Mungu imejulikana kila mahali kiasi kwamba hatuna haja ya kusema lolote kwa habari yake. Tazama sura |