Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 1:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 tukijua, ndugu mnaopendwa na Mungu, uteule wenu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Ndugu, twajua kwamba Mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Ndugu, twajua kwamba Mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Ndugu, twajua kwamba Mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ndugu zetu mnaopendwa na Mungu, kwa kuwa tunajua kwamba Mungu amewachagua,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ndugu zetu mpendwao na Mungu, kwa kuwa tunajua kwamba Mungu amewachagua,

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 1:4
14 Marejeleo ya Msalaba  

kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu: Neema iwe kwenu na imani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwaua Yesu Kristo.


Ni vile alivyosema katika Hosea, Nitawaita wale kuwa watu wangu wasiokuwa watu wangu, Na yeye mpenzi wangu asiyekuwa mpenzi wangu.


kama alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, tuwe watakatifu, wasio khatiya mbele zake, katika pendo.


Bassi, kwa kuwa mu wateule wa Mungu, watakatifu na wapendwao, vaeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu,


wala hatuachi kuikumbuka kazi yenu ya amani, na taabu yenu ya upendo, na uvumilivu wenu wa tumaini lililo katika Bwana Yesu Kristo, mbele za Mungu Baba yetu;


Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu, mliopendwa na Bwana, kwa kuwa Mungu amewachagua tangu mwanzo mpate wokofu, katika kutakaswa kwa Roho na kuiamini kweli,


kama vile Mungu alivyotangulia kuwajua tangu milele katika utakaso wa Roho, hatta wakapata kutii na kunyunyizwa damu ya Yesu Kristo; Neema na amani ziongezwe kwenu.


Kwa hivo ndugu, jitahidini zaidi kufanya imara wito wenu na uteule wenu; maana mkitenda hayo hamtajikwaa kamwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo