Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wathesalonike 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Twamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu nyote, tukiwataja katika maombi yetu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Tunamshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Tunamshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Tunamshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Siku zote tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu ninyi nyote, tukiwataja kwenye maombi yetu daima.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Siku zote tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili yenu ninyi nyote, tukiwataja kwenye maombi yetu daima.

Tazama sura Nakili




1 Wathesalonike 1:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mungu ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake;


Namshukuru Mungu wangu siku zote kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema ya Mungu mliyopewa katika Kristo Yesu;


Twamshukuru Mungu, baba yake Bwana wetu Yesu Kristo, siku zote tukiwaombeeni;


Kwa sababu hiyo sisi nasi twamshukuru Mungu bila kukoma, kwa kuwa mlipopokea lile neno la ujumbe la Mungu mlilolisikia kwetu, mlilipokea si kama neno la kibinadamu; bali kama neno la Mungu; na ndivyo lilivyo kweli kweli, litendalo kazi ndani yenu ninyi mnaoamini.


Maana shukrani gani tuwezayo kumlipa Mungu kwa ajili yenu, kwa furaha ile yote tunayoifurahia, kwa sababu yenu mbele za Mungu wetu;


Imetupasa kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu, kama ilivyo wajib, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa killa mtu kwenu kwa wenzake umekuwa mwingi.


Namshukuru Mungu wangu, siku zote nikikukumbuka katika maombi yangu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo