1 Wakorintho 9:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Kwa maana katika sharia ya Musa imeandikwa, Usimfunge kinywa ngʼombe apurae nafaka. Je! Mungu aangalia mambo ya ngʼombe? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Imeandikwa katika sheria: “Usimfunge kinywa ng'ombe anapopura nafaka.” Je, ndio kusema Mungu anajishughulisha na ng'ombe? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Imeandikwa katika sheria: “Usimfunge kinywa ng'ombe anapopura nafaka.” Je, ndio kusema Mungu anajishughulisha na ng'ombe? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Imeandikwa katika sheria: “Usimfunge kinywa ng'ombe anapopura nafaka.” Je, ndio kusema Mungu anajishughulisha na ng'ombe? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa maana imeandikwa katika Torati ya Musa: “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka.” Je, Mungu hapa anahusika na ng’ombe? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa maana imeandikwa katika Torati ya Musa: “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka.” Je, Mungu hapa anahusika na ng’ombe? Tazama sura |