Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 9:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Nalikuwa Myahudi kwa Wayahudi, illi niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sharia, nalikuwa kama chini ya sharia, illi niwapate walio chini ya sharia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kwa Wayahudi nimeishi kama Myahudi ili niwapate Wayahudi; yaani, ingawa mimi siko chini ya sheria, nimejiweka chini ya sheria kwao, ili niwapate hao walio chini ya sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kwa Wayahudi nimeishi kama Myahudi ili niwapate Wayahudi; yaani, ingawa mimi siko chini ya sheria, nimejiweka chini ya sheria kwao, ili niwapate hao walio chini ya sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kwa Wayahudi nimeishi kama Myahudi ili niwapate Wayahudi; yaani, ingawa mimi siko chini ya sheria, nimejiweka chini ya sheria kwao, ili niwapate hao walio chini ya sheria.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kwa Wayahudi, nilikuwa kama Myahudi, ili niwapate Wayahudi. Kwa watu wale walio chini ya Torati, nilikuwa kama aliye chini ya Torati (ingawa mimi siko chini ya Torati), ili niweze kuwapata wale walio chini ya Torati.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kwa Wayahudi, nilikuwa kama Myahudi, ili niwapate Wayahudi. Kwa watu wale walio chini ya Torati, nilikuwa kama aliye chini ya Torati (ingawa mimi siko chini ya Torati), ili niweze kuwapata wale walio chini ya Torati.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 9:20
11 Marejeleo ya Msalaba  

Paolo akamtaka huyu afuatane nae, akamtwaa akamtahiri kwa ajili ya Wayahudi waliokuwako pande zile: kwa maana wote walijua ya kuwa baba yake ni Myunani.

Paolo akazidi kukaa huko siku nyingi, kiisha akaagana na ndugu akatweka kwenda Shami; na Priskilla na Akula wakaenda pamoja nae, alipokwisha kunyoa kichwa chake katika Kenkrea; maana alikuwa ana nadhiri.

Huenda nikapata kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi vao.

Twajua ya kuwa mambo yote yasemwayo na torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, illi killa kinywa kifumbwe, ulimwengu wote ukapasiwe na hukumu ya Mungu:

Maana mimi kwa sharia naliifia sharia illi nimwishie Mungu.

Niambieni, ninyi ninaotaka kuwa chini ya sharia, hamwisikii torati?

illi awakomboe waliokuwa chini ya sharia, tupate kupokea hali ya wana.

Lakini nikiongozwa na Roho, hunpo chini ya sharia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo