Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 9:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Kwa maana ikiwa mimi si mtume kwa wengine, illakini ni mtume kwenu ninyi; kwa maana muhuri ya utume wangu ni ninyi katika Bwana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Hata kama kwa watu wengine mimi si mtume, lakini walau kwenu nyinyi mimi ni mtume. Nyinyi ni uthibitisho wa utume wangu kwa sababu ya kuungana kwenu na Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Hata kama kwa watu wengine mimi si mtume, lakini walau kwenu nyinyi mimi ni mtume. Nyinyi ni uthibitisho wa utume wangu kwa sababu ya kuungana kwenu na Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Hata kama kwa watu wengine mimi si mtume, lakini walau kwenu nyinyi mimi ni mtume. Nyinyi ni uthibitisho wa utume wangu kwa sababu ya kuungana kwenu na Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni muhuri wa utume wangu katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni mhuri wa utume wangu katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 9:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Aliyeukubali ushuhuda wake ametia muhuri yake kwamba Mungu ni kweli.

Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hatta uzima wa milele, Mwana wa Adamu atakachowapeni: maana huyu ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu.

atwae sehemu yake ya khuduma hii na utume huu, alioukosa Yuda aende zake mahali pake.

Jawabu yangu kwa wale wanaoniuliza ni hii.

Maana ishara za mtume zilitendwa kati yenu katika uvumilivu wote, kwa ishara na maajabu na nguvu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo