Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 8:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Kwa maana ijapokuwa wako waitwao waungu, ikiwa mbinguni au duniani, kama vile wako waungu wengi na bwana wengi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Hata kama viko vitu viitwavyo miungu duniani au mbinguni, na hata kama wako miungu na mabwana wengi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Hata kama viko vitu viitwavyo miungu duniani au mbinguni, na hata kama wako miungu na mabwana wengi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Hata kama viko vitu viitwavyo miungu duniani au mbinguni, na hata kama wako miungu na mabwana wengi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kwa kuwa hata kama wapo hao wanaoitwa miungu, wakiwa mbinguni au duniani (kama ilivyo kweli wapo “miungu” wengi na “mabwana” wengi),

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kwa kuwa hata kama wapo hao wanaoitwa miungu, kama wakiwa mbinguni au duniani (kama ilivyo kweli wapo “miungu” wengi na “mabwana” wengi),

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 8:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie nani? Barabba, au Yesu aitwae Kristo?


Lakini wakati ule, kwa kuwa hamkujua Mungu, mliwatumikia wao ambao kwa asili si miungu.


yule mpingamizi, ajiinuae nafsi yake juu ya killa kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hatta yeye mwenyewe huketi katika hekalu la Mungu, kama Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba ndive Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo