Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 7:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Lakini kama hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka moto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia, basi na aoe; maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia, basi na aoe; maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia, basi na aoe; maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 7:9
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapaseni kutulia, msifanye neno la haraka haraka.

Lakini kwa sababu ya mambo ya zina killa mtu na awe na mke wake mwenyewe, na killa mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Lakini, kama ukioa, huna khatiya, na bikira akiolewa, hana khatiya; lakini watu hao watakuwa na mateso katika mwili; lakini nataka kuwazuilia haya.

Lakini mtu awae yote akiona ya kuwa hamtendei bikira wake vipendezavyo, na ikiwa amepita uzuri wa ujana wake, na kama pana haja, bassi, afanye apendavyo, hafanyi dhambi; na waoane.

Mwanamke hufungwa maadam mumewe yu hayi, lakini iki va mumewe amefariki, yu huru; aweza kuolewa na mtu ye yote amtakae; katika Bwana tu.

killa mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima,

Bali wajane walio vijana nkatae kuwaandika, maana wakiona tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa,

Bassi napenda wajane wasio wazee waolewe, wazae watoto, watawale mambo ya nyumbani, wasimpe adui nafasi ya kulaumu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo