1 Wakorintho 7:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni kheri wakae kama mimi nilivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. Tazama sura |