Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 7:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Mwanamke hufungwa maadam mumewe yu hayi, lakini iki va mumewe amefariki, yu huru; aweza kuolewa na mtu ye yote amtakae; katika Bwana tu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Mwanamke aliyeolewa huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Mwanamke aliyeolewa huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Mwanamke aliyeolewa huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Mwanamke aliyeolewa amefungwa na sheria maadamu mumewe yu hai. Lakini mumewe akifa, basi mwanamke huyo yuko huru kuolewa na mume mwingine ampendaye, lakini lazima awe katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Mwanamke aliyeolewa amefungwa na sheria maadamu mumewe yu hai. Lakini mumewe akifa, basi mwanamke huyo yuko huru kuolewa na mume mwingine ampendaye, lakini lazima awe katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 7:39
8 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza, wala si mimi, illa Bwana, mke asiachane na mumewe;

Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo ndugu mume au ndugu mke hafungiki.

Bassi, amwozae bikira wake afanya vyema; na yeye asiyemwoza afanya vyema zaidi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo