Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 7:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Lakini mtu awae yote akiona ya kuwa hamtendei bikira wake vipendezavyo, na ikiwa amepita uzuri wa ujana wake, na kama pana haja, bassi, afanye apendavyo, hafanyi dhambi; na waoane.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Kama mtu anaona kwamba hamtendei vyema mchumba wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, na afanye atakavyo; waoane tu; hatakuwa ametenda dhambi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Kama mtu anaona kwamba hamtendei vyema mchumba wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, na afanye atakavyo; waoane tu; hatakuwa ametenda dhambi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Kama mtu anaona kwamba hamtendei vyema mchumba wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, na afanye atakavyo; waoane tu; hatakuwa ametenda dhambi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Kama mtu yeyote anadhani kwamba hamtendei ilivyo sawa mwanamwali ambaye amemposa, naye akiwa umri wake unazidi kuendelea na mtu huyo anajisikia kwamba inampasa kuoa, afanye kama atakavyo. Yeye hatendi dhambi. Yawapasa waoane.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Kama mtu yeyote anadhani kwamba hamtendei ilivyo sawa mwanamwali ambaye amemposa, naye akiwa umri wake unazidi kuendelea na mtu huyo anajisikia kwamba inampasa kuoa, afanye kama atakavyo. Yeye hatendi dhambi. Yawapasa waoane.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 7:36
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipoposwa na Yusuf, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Na mtu atakae kukushtaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho.

Nasema haya niwafaidie; si kwamba niwategee tanzi, bali kwa ajili ya vile vipendezavyo, na mpate kumkhudumia Bwana pasipo kuvutwa na mambo mengine.

Lakini yeye aliyesimama kwa uthabiti wa moyo wake, hana sharti, lakini aweza kuitawala nia yake, tena amekusudia moyoni mwake kumlinda bikira wake, atenda vyema.

Lakini kama hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka moto.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo