Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 7:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 bali yeye aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mkewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Mwanamume aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia jinsi atakavyompendeza mkewe,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Mwanamume aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia jinsi atakavyompendeza mkewe,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Mwanamume aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia jinsi atakavyompendeza mkewe,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Lakini mwanaume aliyeoa anajishughulisha na mambo ya dunia, jinsi ya kumfurahisha mkewe,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Lakini mwanaume aliyeoa anajishughulisha na mambo ya dunia, jinsi ya kumfurahisha mkewe,

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 7:33
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni: wala miili yenu mvaeni.


Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hii siwezi kuja.


Mtu wa mshahara hukimhia kwa kuwa ni mtu wa mshahara, wala hatii moyoni mambo ya kondoo.


Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.


Lakini nataka inwe hamna masumbufu. Yeye asiyeoa hujishughulisha na mambo ya Bwana, ampendezeje Bwana;


Tena iko tofauti hii kati ya mke na hikira. Yeye asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana, apate kuwa mtakatifu katika mwili na katika roho. Lakini yeye aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia, jinsi atakavyompendeza mumewe.


Ninyi waume, wapendeni wake zenu, msiwe na uchungu nao.


Lakini mtu asiyewatunza walio wake na khassa watu wa nyumba yake ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.


Ninyi wanme kadhalika, kaeni na wake zenu kwa akili; mkimpa mke heshima, kama chombo kisieho nguvu, na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi sala zenu zisizuiliwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo