Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 7:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Bassi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shidda hii tuliyo nayo, kwamba ni vyema mtu akae kama alivyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kwa sababu ya shida iliyopo sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kwa sababu ya shida iliyoko kwa sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 7:26
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku zile!


Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku zile! kwa maana itakuwa shidda kuu juu ya inchi, na ghadhabu juu ya watu hawa.


BASSI kwa mambo yale mliyoniandikia, ni kheri mwanamume asiguse mwanamke.


Umefungwa kwa mke? usitake kufunguliwa. Umefunguliwa? usitafute mke.


Lakini, kama ukioa, huna khatiya, na bikira akiolewa, hana khatiya; lakini watu hao watakuwa na mateso katika mwili; lakini nataka kuwazuilia haya.


Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni kheri wakae kama mimi nilivyo.


msifadhaishwe upesi na kuaeha nia yenu, wala msistushwe, kwa roho wala kwa neno, wala kwa waraka unaodhaniwa kuwa ni wetu, ya kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwapo.


Kwa maana wakati umefika hukumu ianzie nyumba ya Mungu; na ikianza kwetu, nini mwisho wao wasioitu Injili ya Mungu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo