Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 7:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Killa mtu, ndugu zangu, na akae katika hali hiyo hiyo aliyoitwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Ndugu zangu, kama kila mtu alivyoitwa, akae katika wito wake alioitiwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Ndugu zangu, kama kila mtu alivyoitwa, akae katika wito wake alioitiwa na Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 7:24
8 Marejeleo ya Msalaba  

Marra huenda, akachukua pamoja nae pepo wengine saba walio waovu kupita nafsi yake, nao huingia na kukaa humo; na mambo, ya mwisho ya mtu yule huwa mabaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kiovu.


Bassi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.


Lakini Mungu alivyomgawia killa mtu—kama Mungu alivyomwita killa mtu, na aenende vivyo hivyo. Na ndivyo ninavyoagiza katika Makanisa yote.


Killa mtu na akae katika hali ile ambayo alikuwa nayo alipoitwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo