Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 7:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Killa mtu na akae katika hali ile ambayo alikuwa nayo alipoitwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Basi kila mtu na abaki katika hali aliyoitwa nayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Basi kila mmoja wenu na abaki katika hali aliyoitwa nayo.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 7:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mungu alivyomgawia killa mtu—kama Mungu alivyomwita killa mtu, na aenende vivyo hivyo. Na ndivyo ninavyoagiza katika Makanisa yote.


Umefungwa kwa mke? usitake kufunguliwa. Umefunguliwa? usitafute mke.


tena mjitahidi kutulia, na kutenda shughuli zenu na kufanya kazi kwa mikono yenu wenyewe kama tulivyowaagiza;


Bassi twawaagiza, hao na kuwaonya katika Bwana wetu Yesu Kristo, watende kazi kwa utulivu na kula chakula chao wenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo