Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 7:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana; ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke buyo anakubali kukaa nae, asimwache.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kwa wale wengine, (mimi binafsi, si Bwana) nasema hivi: Ikiwa mwanamume Mkristo anaye mke asiyeamini, na huyo mwanamke akakubali kuendelea kuishi naye, asimpe talaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kwa wale wengine, (mimi binafsi, si Bwana) nasema hivi: Ikiwa mwanamume Mkristo anaye mke asiyeamini, na huyo mwanamke akakubali kuendelea kuishi naye, asimpe talaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kwa wale wengine, (mimi binafsi, si Bwana) nasema hivi: Ikiwa mwanamume Mkristo anaye mke asiyeamini, na huyo mwanamke akakubali kuendelea kuishi naye, asimpe talaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Lakini kwa wengine nasema (si Bwana Isa, ila ni mimi): Kama ndugu ana mke asiyeamini, naye huyo mke anakubali kuishi pamoja naye, basi asimwache.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Lakini kwa wengine nasema (si Bwana Isa, ila ni mimi): Kama ndugu ana mke asiyeamini, naye huyo mke anakubali kuishi pamoja naye, basi asimwache.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 7:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

lakini, ikiwa ameachana nae, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.

Na mwanamke, ambae ana mume asiyeamini, mume huyo na anakubali kukaa nae, asimwache.

Kwa khabari za mabikira sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kuwa mwaminifu kwa rehema za Bwana.

Umefungwa kwa mke? usitake kufunguliwa. Umefunguliwa? usitafute mke.

Lakini nasema haya, nikitoa idhini yangu; sitoi amri.

Nisemalo silisemi agizo la Bwana, bali kama kwa upumbavu, katika ujasiri huu wa kujisifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo