Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 7:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 lakini, ikiwa ameachana nae, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 lakini kama akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. Mume naye asimpe talaka mkewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 lakini kama akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. Mume naye asimpe talaka mkewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 lakini kama akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. Mume naye asimpe talaka mkewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Lakini akitengana, ni lazima akae bila kuolewa, ama sivyo apatane tena na mumewe. Wala mume asimpe mkewe talaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Lakini akitengana, ni lazima akae bila kuolewa, ama sivyo apatane tena na mumewe. Wala mume asimpe mkewe talaka.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 7:11
10 Marejeleo ya Msalaba  

bali mimi nawaambieni, Killa mtu amwachae mkewe, isipokuwa kwa khabari ya asharati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.

na mke, akimwacha mume wake na kuolewa na mtu mwingine, azini.

Mafa risayo wakamwendea, wakamwuliza, Ni balali mtu kumwaeha mkewe? wakimjaribu.

Killa amwachae mkewe na kumwoa mwingine, amezini; nae amwoae yeye aliyeachwa na mumewe azini.

Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza, wala si mimi, illa Bwana, mke asiachane na mumewe;

Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana; ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke buyo anakubali kukaa nae, asimwache.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo