Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 7:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza, wala si mimi, illa Bwana, mke asiachane na mumewe;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: Mke asiachane na mumewe;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: Mke asiachane na mumewe;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane na mumewe;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi, ila ni Bwana Isa): Mke asitengane na mumewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi, ila ni Bwana Isa): Mke asitengane na mumewe.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 7:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

bali mimi nawaambieni, Killa mtu amwachae mkewe, isipokuwa kwa khabari ya asharati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.


Mafa risayo wakamwendea, wakamwuliza, Ni balali mtu kumwaeha mkewe? wakimjaribu.


Killa amwachae mkewe na kumwoa mwingine, amezini; nae amwoae yeye aliyeachwa na mumewe azini.


lakini, ikiwa ameachana nae, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.


Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana; ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke buyo anakubali kukaa nae, asimwache.


Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo ndugu mume au ndugu mke hafungiki.


Kwa khabari za mabikira sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kuwa mwaminifu kwa rehema za Bwana.


Lakini yu kheri zaidi akikaa kama alivyo; ndivyo nionavyo mimi; nami nadhani ya kuwa mimi nami nina Roho ya Bwana.


Lakini nasema haya, nikitoa idhini yangu; sitoi amri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo