1 Wakorintho 7:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 BASSI kwa mambo yale mliyoniandikia, ni kheri mwanamume asiguse mwanamke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: Naam, ni vizuri kama mtu haoi; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: Naam, ni vizuri kama mtu haoi; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi kuhusu mambo yale mliyoyaandika: “Ni vyema mwanaume asimguse mwanamke.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi kuhusu mambo yale mliyoyaandika: Ni vyema mwanaume asimguse mwanamke. Tazama sura |