Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 6:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Bali ninyi mwadhulumu watu na kunyangʼanya mali zao; naam, za ndugu zenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyanganya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyanganya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyang'anya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Badala yake, ninyi wenyewe mwadanganya na kutenda mabaya, tena mwawatendea ndugu zenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Badala yake, ninyi wenyewe mwadanganya na kutenda mabaya, tena mwawatendea ndugu zenu.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 6:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nae akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?


Wazijua amri, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Usidanganye, Waheshimu haha yako na mama yako.


Maana adhulumuye atapata mapato ya udhalimu wake, wala hakuna upendeleo.


mtu asimpunje ndugu yake wala kumkosa katika jambo hili; kwa sababu Bwana ndiye alipizae kisasi cha haya yote, kama tulivyowaambia kwanza, tukashuhudu sana.


Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, uliozuiliwa nanyi kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa Sabaoth.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo