Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 6:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Nasema haya nipate kuwatahayarisheni. Je! ndivyo hivyo, kwamba kwenu hakuna hatta mtu mmoja mwenye hekima, awezae kukata maneno ya ndugu zake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Aibu kwenu! Ndiyo kusema hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza kutatua tatizo kati ya ndugu waumini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Aibu kwenu! Ndiyo kusema hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza kutatua tatizo kati ya ndugu waumini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Aibu kwenu! Ndiyo kusema hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza kutatua tatizo kati ya ndugu waumini?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Nasema hivi ili mwone aibu. Je, inawezekana kuwa miongoni mwenu hakuna mtu mwenye hekima ya kutosha kuamua ugomvi kati ya waumini?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Nasema hivi ili mwone aibu. Je, inawezekana kuwa miongoni mwenu hakuna mtu mwenye hekima ya kutosha kuamua ugomvi kati ya waaminio?

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 6:5
12 Marejeleo ya Msalaba  

Siku zile akasimama Petro kati ya wanafunzi, akasema (jumla ya majina ilipata mia na ishirini),


Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia khabari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemi:


Je! sharia ya asili yenyewe haiwafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake;


Erevukeui kama ipasavyo, wala insiteude dhambi; kwa maana wengine hawamfahamu Mungu. Ninasema haya niwafedheheshe.


Mtu asijidanganye nafsi yake: kama mtu akijiona kuwa mweuye hekima kati yeuu katika dunia hii, na awe mpumbavu, apate kuwa mwenye hekima.


Sisi tu wapumbavu kwa ajili ya Kristo, lakini ninyi wenye akili katika Kristo; sisi dhaifu, lakini ninyi hodari; ninyi mna utukufu, lakini sisi hatupati heshima.


Siyaandiki haya illi kuwatahayarisha, hali kuwaonya kama watoto niwapendao. Maana ijapokuwa mna waalimu elfu katika Kristo, illakini hamna baba wengi.


JE! mtu wa kwenu akiwa na neno juu ya mwenzake athubutu kuhukumiwa mbele ya wasio haki wala si mbele ya watakatifu?


Bassi, mkiwa ita mahali yanapohukumiwa mambo ya maisha haya, wekeni hao waliohesabiwa kuwa si kitu katika kanisa.


Lakini mtu wa kwemi akipungukiwa hekima, aombe dua kwa Mungu, awapae wote kwa ukarimu, wala hakemei; nae atapewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo