1 Wakorintho 6:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Bassi, mkiwa ita mahali yanapohukumiwa mambo ya maisha haya, wekeni hao waliohesabiwa kuwa si kitu katika kanisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwa hiyo kama kuna ugomvi miongoni mwenu kuhusu mambo kama haya, je, mnachagua watu ambao wanaonekana hata sio wa heshima katika kundi la waumini kuwa waamuzi kati yenu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwa hiyo kama kuna ugomvi miongoni mwenu kuhusu mambo kama haya, chagueni kuwa waamuzi, watu ambao wanaonekana hata sio wa heshima katika kundi la waumini. Tazama sura |