Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 6:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja nae? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye – kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye – kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye — kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Hamjui kwamba aliyeungwa na kahaba anakuwa mwili mmoja naye? Kwa kuwa imenenwa, “Hao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Hamjui kwamba aliyeungwa na kahaba anakuwa mwili mmoja naye? Kwa kuwa imenenwa, “Hao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 6:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

na hawo wawili watakuwa mwili mmoja; hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.


Hamjui ya kuwa tutawahukumu malaika, bassi si zaidi sana mambo ya maisha haya?


Kwa sababu hiyo mtu atamwacha haha yake na mama yake, ataamhatana na mkewe; nao wawili watakuwa mwili mmoja.


Kwa imani Rahab, yule kahaba, hakuangamia pamoja nao walioasi; kwa kuwa aliwakaribisha wapelelezi kwa amani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo