Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 5:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Kujisifu kwenu si kuzuri. Hamjui kwamba chachu kidogo hulitia chachu donge zima?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Majivuno yenu hayafai! Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la unga?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Majivuno yenu hayafai! Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la unga?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Majivuno yenu hayafai! Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la unga?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Majivuno yenu si mazuri. Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge zima la unga?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Majivuno yenu si mazuri. Je, hamjui ya kwamba chachu kidogo huchachusha donge zima la unga?

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 5:6
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia mfano mwingine; Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyotwaa mwanamke, akaisetiri katika pishi tatu za unga, hatta ukachacha wote pia.


Umefanana na chachu aliyotwaa mwanamke akaisetiri katika pishi tatu za unga, hatta ukachacha wote pia.


Hamjui ya kuwa kwake yeye ambae mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake na kumtumikia, m watumwa wake yule mmtiiye, ikiwa utumishi wa dhambi uletao mauti, au utumishi wa utii uletao haki.


Msidanganyike: mazumgumzo mabaya huharibu tabia njema.


Bassi, asijisifu mtu katika wana Adamu.


Nanyi minejivuna wala hamkusikitika illi aondolewe kati yenu yeye aliyetenda jambo hilo.


Chachu kidogo huchachua donge nzima.


na neno lao litakuwa likitafuna kama donda ndugu. Katika hao ni Humenayo na Fileto,


Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kwote kwa namna hii ni kubaya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo