Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 4:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, hali katika nguvu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Maana ufalme wa Mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Maana ufalme wa Mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Maana ufalme wa Mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kwa kuwa ufalme wa Mungu si maneno matupu tu bali ni nguvu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kwa kuwa Ufalme wa Mwenyezi Mungu si maneno matupu tu bali ni nguvu.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 4:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

kwa maana siionci haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokofu, kwa killa aaminiye, kwa Myahudi kwanza, hatta kwa Myunani pia.


Maana ufalme wa Muugu si kula na kunywa, bali baki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu.


katika nguvu za Roho Mtakatifu; hatta ikawa tangu Yerusalemi, na kando kando yake, hatta Illuriko nimekwisha kuikhubiri Injili ya Kristo kwa utimilifu,


bali kwao waitwao, Wayahudi na Wayunani pia, ni Kristo, nguvu ya Mungu, na hekima ya Mungu.


Na neno langu na kukhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima ya kibinadamu yenye kushawishi akili za watu, bali kwa dalili za Roho zenye nguvu,


Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga ninyi wala si kuwaangusha), sitatahayarika;


kwamba injili yetu haikuwafikia katika maneno tu, bali na katika nguvu, na katika Roho Mtakatifu, na uthubutifu mwingi; kama mnavyojua jinsi zilivyokuwa tabia zetu kwenu, kwa ajili yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo