1 Wakorintho 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 tukisingiziwa twasihi: tumefanywa kama takataka za dunia, na kifusi cha vitu vyote hatta sasa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 tukisingiziwa, tunajibu kwa adabu. Mpaka sasa tumetendewa kama uchafu wa dunia; na kwa kila mtu sisi ni takataka! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 tukisingiziwa, tunajibu kwa adabu. Mpaka sasa tumetendewa kama uchafu wa dunia; na kwa kila mtu sisi ni takataka! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 tukisingiziwa, tunajibu kwa adabu. Mpaka sasa tumetendewa kama uchafu wa dunia; na kwa kila mtu sisi ni takataka! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 tunaposingiziwa, tunajibu kwa upole. Hadi sasa tumekuwa kama takataka ya dunia na uchafu wa ulimwengu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 tunaposingiziwa, tunajibu kwa upole. Mpaka sasa tumekuwa kama takataka ya dunia na uchafu wa ulimwengu. Tazama sura |