1 Wakorintho 3:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Nimewanywesha maziwa, sikuwalisha chakula; kwa maana mlikuwa hamjakiweza; naam, hatta sasa hamkiwezi, kwa maana hatta sasa m watu wa tabia za mwilini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Ilinibidi kuwalisheni kwa maziwa, na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Ilinibidi kuwalisheni kwa maziwa, na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Ilinibidi kuwalisheni kwa maziwa, na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Niliwanywesha maziwa, wala si chakula kigumu, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa hicho chakula. Naam, hata sasa hamko tayari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Naliwanywesha maziwa, wala si chakula kigumu, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa hicho chakula. Naam, hata sasa hamko tayari. Tazama sura |